Ongezeko la chuki za Kidini/ Katika siku za hivi karibuni, ulimwengu umeshuhudia ongezeko la kuhuzunisha la vitendo vya chuki za kidini vilivyokuwa vimepangwa na hadharani, hususan kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika baadhi ya nchi za Ulaya na nchi nyinginezo.