Kanisa Katoliki na dunia kwa ujumla inaomboleza kifo cha Papa Francis, ambaye kama ilivyoripotiwa na Vatican News, alifariki dunia Jumatatu ya Pasaka, Aprili 21, 2025,...
Francis amefichua kuwa anafanya kazi na kiongozi wa sherehe za Vatican kusamehe ibada tata na ndefu ya mazishi ya papa.
Papa Francis, ambaye anakwepa...