Huku Michezo ya Olimpiki ya Paris ya 2024 ikikaribia kwa kasi, mjadala mkali kuhusu alama za kidini umezuka nchini Ufaransa, ukipinga ubaguzi mkali wa nchi hiyo dhidi ya...
Ongezeko la chuki za Kidini/ Katika siku za hivi karibuni, ulimwengu umeshuhudia ongezeko la kuhuzunisha la vitendo vya chuki za kidini vilivyokuwa vimepangwa na hadharani, hususan kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika baadhi ya nchi za Ulaya na nchi nyinginezo.