Hali ni mbaya haswa katika eneo la Gaza Kaskazini, ambalo limezingirwa kwa zaidi ya miezi miwili, Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stéphane Dujarric alisema...
Malori ya Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) yakiwa yamebeba mtama, kunde, mafuta na mchele yanayopelekwa kwa watu 13,000 walio katika hatari ya kukumbwa na njaa huko Kereneik, Darfur Magharibi,...
Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stéphane Dujarric amesema Katibu Mkuu "analaani vikali" mashambulizi ya hivi karibuni ya jeshi la Myanmar katika Jimbo la Rakhine na Mkoa wa Sagaing ambayo ...