Askofu Msaidizi wa Santiago, Chile, Alberto Lorenzelli, anasema matokeo ya kura ya maoni ya katiba iliyofanyika Jumapili nchini Chile kuthibitisha kura ya "hapana" kwenye rasimu ya mageuzi yanataka kutafakariwa kwa kitaifa, wakati ushiriki mkubwa unaonyesha watu wanataka umoja.